Results 10 of 30


[ DRAMA]
... kueleza mawazo makubwa au ufasaha safi bila kuazima mno maneno mapya ya kigeni. Namshukuru sana Bwana Valentine Ostroysky. Bila shaka kwake yeye, lugha zote mbili, Kiswahili na Kiingereza, kajifunza: na ni bigwa wa zote. Kiswahili kajifuoza mwenyewe, kitabuni, bila kufika Afrika. Nawashukuru pia Mabwana Bernth Lindfors na Morris Goodman wa ...
[ DRAMA]
... Kaizari ahadhari, Kwani tutamtikisa, ama tustahimili Taabu nyingi zaidi. (Anatoka) Kitendo Cha Kwanza Onyesho Ia III: Barabarani (Ngurumo na umeme. Wanaingia, kutoka pande zote mbili, Kasika, kachomoa upanga wake, na Sisero) SISERO: Masalkheri, Kasika! Je, ulimsindikiza Kaizari kwake? Mbona wahema, watoa macho? KASIKA: Wewe wala hustuki, ambapo dunia nzima, Inayumbayumba ...
[ DRAMA]
... N'acheni nifanve kazi. kwa sababu ninaweza Kuuchezea unyonge wake kwa urairai Nimlete Barazani. KASIO: Hasha, tutafuatana, tumlete kwa pamoja. BURUTO: Iwe kwenye saa mbili: isipite hapo, sivyo? SINNA: Isipite saa mbili wala msikose, basi. METELLO: Na Kayusi Ligaria hampendi Kaizari Kwani alimkemea kwa kumsifia Pompe: Nashangaa kati yetu hako ...
[ DRAMA]
... Kuuchezea unyonge wake kwa urairai Nimlete Barazani. KASIO: Hasha, tutafuatana, tumlete kwa pamoja. BURUTO: Iwe kwenye saa mbili: isipite hapo, sivyo? SINNA: Isipite saa mbili wala msikose, basi. METELLO: Na Kayusi Ligaria hampendi Kaizari Kwani alimkemea kwa kumsifia Pompe: Nashangaa kati yetu hako aliyemtaja! BURUTO: Tazama, Metello mwema, nenda kamfuate ...
[ DRAMA]
... umejidamka hivi? Sabalkheri, Kasika. Na Kayusi Ligario Kaizari hajapata akawa adui yako Sawa na maradhi haya yakukondeshayo hivi. Saa ngapi? BURUTO: Kaizari, imegonga saa mbili. KAIZARI: Nakushukuru kwa taabu na uungwana wako. (Aingia Antonio) Ona, hata Antonio akeshaye kwa sherehe, Naye piya kaamka. Baraka za asubuhi, Antonio! ANTONIO: Ziweko na ...
[ DRAMA]
... na hakika bwana wangu hakunipa. BURUTO: Kunradhi, kijana mwema, ninaghafilika sana. Huwezi ukawa macho japo kwa muda mfupi, Na kupiga wimbo moja au nyimbo mbili hivi? LUKIO: Ninaweza, bwana wangu, kama itakupendeza BURUTO: Itanipendeza, baba: Ninakusumbua mno, lakini unakubali. LUKIO: Ni wajibu wangu, bwana. LURUTO: Sina haki kukudai wajibu wako ...
[ DRAMA]
... hata kwenye macho yake. BURUTO: Volumnio mpole njoo, nikwambie neno. VOLUMNIO: Bwana wangu asemaje? BURUTO: Ni hii, Volumnia, mzuka wa Kaizari Sasa umenitokea mara mbili kwa usiku: Ya kwanza ni Sardisi; ya pili jana usiku, Ulinitokea hapa kwenye mbuga za Filippi: Najua ya kuwa saa yango sasa imefika. VOLUMNIO: La, ...
[ PHYSICAL PLANT]
... Lakini walipotambua kuwa yeye ni Myahudi, wote kwa sauti moja walipiga kelele: "Mkuu ni Artemi wa Efeso!" Wakaendelea kupayukapayuka hivyo kwa muda wa saa mbili. 35 Hatimaye karani wa mji alifaulu kuwanyamazisha, akawaambia, "Wananchi wa Efeso, kila mtu anajua kwamba mji huu wa Efeso ni mlinzi wa nyumba ya mungu ...
[ PHYSICAL PLANT]
... mahakamani kwa kuwa ninatumaini kwamba wafu watafufuka." 7 Baada ya kusema hivyo, mzozo mkali ulitokea kati ya Mafarisayo na Masadukayo na mkutano ukagawanyika sehemu mbili. 8 Kisa chenyewe kilikuwa hiki: Masadukayo hushikilia kwamba wafu hawafufuki, hakuna malaika, na roho nazo hazipo. Lakini Mafarisayo husadiki hayo yote matatu. 9 Kelele ziliongezeka ...
[ PHYSICAL PLANT]
... yeyote kwamba amemletea habari hizo. Paulo anapelekwa kwa mkuu wa mkoa 23 Basi, mkuu wa jeshi aliwaita askari wawili akawaambia, "Wekeni tayari askari mia mbili, wapanda farasi sabini na askari mia mbili wa mikuki, waende Kaisarea; muwe tayari kuondoka kabla ya saa tatu leo usiku. 24 Wekeni farasi kadhaa kwa ...
[ PHYSICAL PLANT]
... kwa mkuu wa mkoa 23 Basi, mkuu wa jeshi aliwaita askari wawili akawaambia, "Wekeni tayari askari mia mbili, wapanda farasi sabini na askari mia mbili wa mikuki, waende Kaisarea; muwe tayari kuondoka kabla ya saa tatu leo usiku. 24 Wekeni farasi kadhaa kwa ajili ya Paulo; mfikisheni salama kwa Felisi, ...
  • Libri.it

    MARK RYDEN. PINXITEAMESARCHITECTURE NOW! WOOD 2IL MIO PRIMO VIAGGIO
  • Illustrati

    Sfoglia riviste di Illustrati
  • Libri.it