Results 1 of 1
|
[ AFRICAN LITERATURES]
|
| ... bungeni, Waheshimiwa kucheka, bila ya kutathmini, Wajue lipi tashika, ambalo wangeamini, Ukweli tunautaka, aliyeua ni nani? 8. Sababu zilotajika, na waziri mambo ndani, Hata chizi atacheka, na fupale jalalani, Chuki risasi mtwika, karatasi mfukoni, Ukweli tunautaka, aliyeua ni nani? 9. Huyo aliyezishika, kuzitoa mfukoni, Na ndipo akatamka, haya sasa mpigeni, ... |




